Mh Mwenyekiti,
Kamati ya Fedha ,Uongozi na Mipango
Katika kipindi cha mwezi Machi 2018, idara ya Maendeleo na Ustawi wa Jamii kupitia kitengo cha Wanawake na Vijana imefanikiwa kukusanya jumla ya Tsh 5,520,700 kutoka vikundi vya Wanawake na Vijana. Kati ya fedha hizo Tsh 120,000 ni fedha kwa ajili ya Usajili wa vikundi na Tsh 5,400,700 ni fedha kwa ajili ya marejesho ya mikopo.Halmashauri inaomba idhini ya kutoa mkopo wa Tshs 60,200,000.00 kwenye Saccos ya wanawake Tshs 30,000,000/= na vikundi vya vijanaTshs 30,200,000/=
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.