Habari njema kwa watumishi, sasa mtumishi unaweza kupata taarifa zako za mshahara (Salary slip) mahali popote ulipo kupitia mtandao wa "watumishi portal". Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye Link hii hapa kisha jaza taarifa zako ili kufungua akaunti yako itakayokuwezesha kupata taarifa mbali mbali za kiutumishi.
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.