Kahawa inayolimwa katika Halmashauri ya wilaya ya Mpanda imepata soko la wanunuzi kutoka nchi za Ulaya. Hayo yamebainishwa na Aldofu Andrew mwishoni mwa mwezi Juni, 2019 wakati wa mkutano wa wadau wa maendeleo ya kata ya Mwese. Kahawa hiyo imekuwa na soko kutokana na kulimwa kwa kutumia mbolea ya samadi.
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.