Halmashauri ya wilaya ya Mpanda imedhamilia kukiboresha kiwanda cha kukamua mafuta ya alzeti (MPADECO). Hayo yamebainishwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mpanda Bw. Samson Medda baada ya kutembelea na kujionea uchakavu wa kiwanda hicho.
Timu ya menejimenti ilitembelea kampuni ya RK na kujifunza inavyofanya kazi kwa kutumia mitambo ya kisasa ya kukamua mafuta hayo.
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.