• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe ya ofisi |
Tanganyika District Council
Tanganyika District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanganyika District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasissi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu, ufuatiliaji na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Kitengo
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Miradi ya Elimu
    • Usafirishaji
    • Ufugaji Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Leseni za Biashara
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Matumizi Bora ya Ardhi
    • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kitaifa
    • Video za Shughuli za Halmashauri
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Gazeti la Mpanda Leo
    • Makala Mbalimbali

Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Tanganyika yawataka watumishi kusimamia Ilani

Posted on: January 23rd, 2023

IMG_20230124_144225_206.jpgKAMATI YA SIASA (CCM) WILAYA YA TANGANYIKA YAWATAKA WATUMISHI KUSIMAMIA ILANI.


Kamati ya siasa ya Chama Cha  Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tanganyika ikiongozwa na Mwenyekiti wake Yasin Kiberiti Jana Januari 23,2023 imeanza ziara ya siku tano ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo.


Wakiwa katika mradi wa ujenzi wa Jengo la wagonjwa wa nje (OPD) katika kituo cha Afya Ipwaga, Mwenyekiti Kiberiti amesema ameridhishwa na hatua ambayo miradi yote waliyotembelea imefikia huku akisisitiza usimamizi zaidi ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati na kuwanufaisha wananchi.


Aidha, ametoa wito kwa viongozi ambao ni wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuendelea kusimamia Ilani ya CCM kwa kile alichodai dhamira ya chama hicho ni kuhakikisha wananchi wanafaidi matunda ya chama hicho.


"Serikali yetu iko makini na ni jukumu letu Chama Cha Mapinduzi kuisimamia Serikali na kuishauri"


Pia ameshauri halmashauri kusaidia fedha ili kuboresha ujenzi wa mradi wa Zahanati Kijiji cha Kapemba unaotekelezwa kwa fedha za mfuko wa jimbo ambao toka mwaka 2017 mradi uanze kujengwa hadi sasa mradi huo umekwama katika hatua za umaliziaji.


Kwa upande wake mwakilishi wa mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika ambaye pia ni Afisa mipango Deus Luziga amesema  Halmashauri iko tayari kuwaunga mkono wananchi katika miradi iliyoanzishwa kwa nguvu zao endapo watazingatia utaratibu wa kufikisha mradi hatua ya lenta.


Kamati hiyo jana imetembelea mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mganga Kijiji cha Kapemba wenye thamani ya Tsh. Milioni 50 sambamba na ujenzi wa mradi wa zahanati ya Kijiji hicho, ujenzi wa mradi wa maji vijiji vya Isenga, Ifumbura na Kapemba unaoghalimu zaidi ya Tsh. Bilioni 1.3, mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Isubangala.


Miradi mingine ni ujenzi wa Zahanati ya Kijiji Mganza iliyoibuliwa kwa michango ya Wananchi na mradi wa ujenzi wa jemgo la wagonjwa wa nje (OPD) katika kituo cha afya Ipwaga.

Matangazo

  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA DEREVA II, KATIBU MAHSUSI III NA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGANYIKA YAWEKA MIKAKATI KUONGEZA VYANZO VYA MAPATO

    February 01, 2023
  • DC JAMILA AHIMIZA UPANDAJI NA UTANZAJI WA MITI

    January 24, 2023
  • Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Tanganyika yawataka watumishi kusimamia Ilani

    January 23, 2023
  • Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Tanganyika yawataka watumishi kusimamia Ilani

    January 23, 2023
  • Tazama zote

video

DC wa Tanganyika asisitiza michezo katika kata ya Bulamata
Video nyingine

Mawasiliano ya Haraka

  • Taarifa kwa Umma
  • Orodha ya Madiwani
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA TANGANYIKA
  • Gazeti la Mpanda Leo
  • Habari Mpya
  • Mwanzo
  • Matukio
  • Matangazo

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikuli
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi Tanzania
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free visitor counters

Dira ya Ramani

Wasiliana Nasi

    TONGWE - MAJALILA

    Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA

    Telephone: +255-252955264

    Simu ya mkononi: 0754870344

    Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Test

Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.