Posted on: January 22nd, 2023
MIGOGORO INACHELEWASHA MAENDELEO - DC BUSWELU.
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi Onesmo Buswelu ametoa wito kwa wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka watoto wao shule ili hapo...
Posted on: December 17th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amewataka wavuvi wanaovua Samaki ziwa Tanganyika kuacha tabia ya kufanya uvuvi haramu badala yake watumie zana sahihi za uvuvi kwa ajili ya uvuvi endelevu.
...
Posted on: November 16th, 2022
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kutoka Mkoani Tabora wamefurahishwa kwa namna ambavyo Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wamenufaika kupitia Mradi wa...