Posted on: June 14th, 2018
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda mhe. Hamadi Mapengo amewapongeza wananchi wa kata ya Ilangu kwa kuwa na moyo wa kujitolea hali na mali katika shughuli za maendeleo. Hayo ameyasema Juni 9...
Posted on: June 8th, 2018
Fundi ujenzi wa zahanati ya Kusi akiandaa ugali wakati wa mapumziko. Mafundi hao wameweka kambi kwa ajili ya kukamilisha jengo la zahanati kwa wakati....
Posted on: June 8th, 2018
Wananchi wa kijiji cha Kusi kilichopo kata ya Bulamata wanahitaji lori ya kubebea mawe ya ujenzi wa zahanati ya kijiji. Hayo yamesemwa mbele ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda mhe. Hamad...