Posted on: June 22nd, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Mpanda imerasmisha eneo la uwekezaji la Luhafwe na kupanga sehemu ya eneo kuwa mji wa biashara. Hayo yamesemwa Juni 22, 2017 na Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Bw. Salehe Mhando ...
Posted on: June 16th, 2017
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Bw. Salehe Mhando ameahidi kuimarisha ulinzi kwa wanafunzi na watoto wote kwa ujumla. Mhando ameyasema hayo kwenye maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kwa mkoa w...
Posted on: May 24th, 2017
Wajumbe wa ALAT tawi la mkoa wa Katavi wamepongeza Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mpanda kwa kuwa na mradi wa maji mkubwa na unaotumia umeme jua. Pongezi hizo zimetolewa na mwenyekiti wa ALAT ...