• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe ya ofisi |
Tanganyika District Council
Tanganyika District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanganyika District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasissi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu, ufuatiliaji na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Kitengo
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Miradi ya Elimu
    • Usafirishaji
    • Ufugaji Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Leseni za Biashara
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Matumizi Bora ya Ardhi
    • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kitaifa
    • Video za Shughuli za Halmashauri
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Gazeti la Mpanda Leo
    • Makala Mbalimbali

Vivutio vya Utalii

Tanganyika ina vivutio vingi sana kama vifuatavyo,

-Maporomoko ya Nkondwe

-Mto ambao ukinywa maji yake unapata watoto mapacha

-Sokwe wengi zaidi ya 1000 wanaopatikana katika misitu ya Tongwe Mashariki na Magharibi (Tanganyika)

-Mambo kale katika tarafa ya Karema

-Samaki anayetoa umeme


VIVUTIO VYA UTALII VILIVYOPO WILAYA YA TANGANYIKA (MPANDA DC)- MKOANI KATAVI -

NA.
KIVUTIO CHA UTALII
MAHALI KILIPO
SIFA ZAKE
1
Hifadhi ya Taifa ya Katavi (Katavi National Park)
Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Hifadhi hii ni ya tatu kwa ukubwa baada ya hifadhi ya taifa ya Ruaha na Serengeti. Hifadhi ya Taifa ya Katavi inasifika kwa kuwa na:-
Makundi makubwa ya Viboko, Simba, Pundamilia na Nyati
Uwepo wa mzimu wa kiume wa Wabende ujulikanao kama Katabi na mzimu wa kike wa Wamweru
Uwepo wa Twiga mweupe
Uwepo wa mabonde muhimu ya Ziwa Chada, Paradise na mbuga ya Katsunga
Mazingira asilia yenye uoto wa misitu jamii ya miombo
Uwepo wa Tembo wakubwa
Maporomoko ya Mto Ndido na Chorangwa
Uwepo wa aina mbalimbali za ndege
2
Pori la Akiba la Rukwa (Rukwa Game Reserve)
Halmashauri ya Wilaya ya Mlele na Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe
Hifadhi hii inasifika kwa kuwa na:-
Makundi makubwa ya Viboko, Simba, Pundamilia na Nyati
Uwepo wa Vitalu 3 vya Uwindaji wa Kitalii ambavyo ni Ziwa Rukwa, Mlele South na Rungwa river (Kimoja cha daraja la kwanza na 2 vya daraja la pili)
Wanyamapori adimu kama Mbwamwitu, Puku (Sheshe) ambao ndiko sehemu pekee wanapatikana katika Pori hili na Kilombelo
 Maporomoko ya Mto Ndido na Yeye
Uwepo wa Ziwa Rukwa
Mazingira asilia yenye uoto wa misitu jamii ya miombo
Uwepo wa safu za mlima wa Mulele Hills ambazo zinaweza kutumika kuweka Picnic sites
Uwepo wa zaidi ya species 350 za ndege kama vile “Crown crane maarufu kama ndege chai”
Uwepo wa mapango ambayo hutumika kwa ajili ya matambiko
3
Ziwa Tanganyika
Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda (Kata ya Karema na Ikola)
Ziwa hili linasifika kwa:-
Ziwa la kwanza kwa Ukubwa katika Bara la Afrika na la pili Duniani (ukubwa 32,900 sq km)
La pili kwa kuwa na umri mkubwa Duniani unaokadiriwa kuwa miaka 5500
La pili kwa kuwa na kina kirefu Duniani (kina 1,470 m)
La kwanza kwa urefu kwa maziwa yenye maji laini (urefu ni 673 kms)
Kuwa na zaidi ya ‘species’ 250 za samaki wa mapambo (Cichlid) ambao wanapatikana katika Ziwa hili pekee (endemic species)
Uwepo wa fukwe nzuri za mchanga (sand beaches)
Uwepo “Nile Crocodiles”
Uwepo wa Samaki aina ya Nyika (electric fish)
Uwepo wa meli kongwe ya MV Liemba iliyotengenezwa mwaka 1913.
4
Ziwa Rukwa
Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe
Ziwa hili ni:-
Ni nne kwa ukubwa hapa nchini (5760 sq km)
Lina idadi kubwa ya viboko, mamba na zaidi ya ‘species’ 350 za ndege tofauti tofauti
Halitoi maji yake bali linapokea tu maji kutoka kwenye mito mikubwa mitano ambayo ni Kavuu, Rungwa, Yeye, Ilemba na Momba  
5
Chemichemi ya Majimoto
Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe
Hii ni chemichemi ambayo:-
Inatoa majimoto muda wote yenye nyuzi joto (0c) 40
Chimbuko la kabila la Wapimbwe
6
Kanisa la Wapentekoste lililopo eneo la Katumba
Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo
Ni kanisa ambalo:-
Hili ni kanisa kubwa ambalo lina uwezo wa kubeba watu zaidi ya 700
Lilijengwa mwaka….. na mafundi wa mtaani
Halina nguzo hata moja
7
Kijiji cha kihistoria cha Karema
Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda
Eneo hili ni:-
Eneo la kihistoria mbalo historia yake inaanzia miaka ya 1885 tangu enzi wamisionari walipoingia
Kuna mabaki ya historia ya mtakatifu Adrian Atman ambaye alikaa Karema kwa kipindi cha miaka 67
8
Misitu ya Hifadhi
Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Misitu hii ni:-
Eneo lake ni takribani asilimia 59 ya eneo lote la Mkoa
Ina vivutio vingi vya utalii kama vile uwepo wa uoto wa asili aina ya miombo
Sifa ya kuwa na Mapori tengefu (Game Controlled Areas) na hivyo kutumika kwa shughuli za uwindaji wa kitalii
Uwepo wa miamba kama vile Magorofani, Safu za milima na mabonde
9
Uwepo wa Sokwe Mtu
Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda
Mkoa wa Katavi unakadiriwa kuwa:-
Sokwe mtu zaidi ya 1000 ambao wanapatikana katika maeneo yaliyohifadhiwa (Msitu wa Hifadhi wa Tongwe Mashariki, Msitu wa Hifadhi inayopendekezwa ya Tongwe Magharibi na Msitu wa Mnimba ambao ni msitu wa hifadhi wa Kijiji cha Vikonge)
Pia, Sokwe wanapatikana katika safu za milima ya Wansisi
10
Maporomoko ya Maji
Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe
Mkoa una maporomoko ya:
Mto Nkondwe haya yanapatikana mita chache kutoka barabara ya Mpanda – Kigoma na yapo eneo zuri kwa ajili ya kuweka kambi za wageni
Mto Mnyangwa ambayo yanapatikana katika Msitu wa hifadhi wa Tongwe Mashariki
Luegele katika Mto Lwega
Maporomoko ya Ntakata yanapatikana ndani ya Msitu wa Hifadhi tarajiwa ya Tongwe Magharibi
Maporomoko ya Kilida katika Safu za Milima ya Lyamba lya Mfipa
10
Historia ya Makabila ya Wabende, Wakonongo, Wapimbwe na Wafipa
Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Makabila haya yanasifika kwa:-
Kuwa na ngoma za jadi
Matambiko ya kimila
11
Safu za milima ya Lyamba lya Mfipa na Mulele
Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na Halmashauri ya Wilaya ya Mlele
Safu hizi zinasifika kwa:-
Zinatoa mwonekano mzuri wa Ziwa Rukwa na mwonekanao mzuri wa uoto wa asili wa Miombo
Mwonekano mzuri wa kuchomoza na kuzama kwa jua
Milima ya Lyamba dio milima unapatikana pande zote za Ziwa Tanganyika
Ni kati ya milima ambayo inatengeneza bonde la Ufa
12
Chemichemi za Mito Sabagha na Kasewa na Wamweru
Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda
Sifa za chemichemi hizi ni:
Ni vyanzo vya maji ambayo maji yake yanatoka ardhini kwa presha (water fountain)
Chemichemi ya Sabagha ndicho kinatoa maporomoko ya Nkondwe


Matangazo

  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA DEREVA II, KATIBU MAHSUSI III NA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGANYIKA YAWEKA MIKAKATI KUONGEZA VYANZO VYA MAPATO

    February 01, 2023
  • DC JAMILA AHIMIZA UPANDAJI NA UTANZAJI WA MITI

    January 24, 2023
  • Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Tanganyika yawataka watumishi kusimamia Ilani

    January 23, 2023
  • Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Tanganyika yawataka watumishi kusimamia Ilani

    January 23, 2023
  • Tazama zote

video

DC wa Tanganyika asisitiza michezo katika kata ya Bulamata
Video nyingine

Mawasiliano ya Haraka

  • Taarifa kwa Umma
  • Orodha ya Madiwani
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA TANGANYIKA
  • Gazeti la Mpanda Leo
  • Habari Mpya
  • Mwanzo
  • Matukio
  • Matangazo

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikuli
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi Tanzania
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free visitor counters

Dira ya Ramani

Wasiliana Nasi

    TONGWE - MAJALILA

    Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA

    Telephone: +255-252955264

    Simu ya mkononi: 0754870344

    Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Test

Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.